Maonyesho yetu

Vyumba vya vimazigazi

Je, uko tayari kwa tukio ya kuvutia?
Jiunge nasi kwa kuona na kuhisi maonyesho ya kuvutia na ya kuelimisha! Chunguza vyumba vyetu vingi na vya vipekee kushuhudia vimazigazi vya kale na visinyoonekana popote!

Nunua tiketi

Huwezi amini macho yako!

  • illusion rooms exhibits gallery1 moi nairobi 1200×900
  • illusion rooms exhibits gallery2 moi nairobi 1200×900
  • xr:d:daffcqorvca:209,j:6795225313276822381,t:24022111
  • illusion rooms exhibits gallery4 moi nairobi 900×1200

Ingia kwenye ulimwengu wa kuvutia wa udanganyifu!

Jiingize katika ulimwengu wa kuvutia wa vimazigazi na ushuhudie vichemsha bongo katika vyumba vyetu! Pata mtazamo usio na mwisho, tembea katika dunia ambalo linakutatanisha muonekano wa juu na chini, na pia utaweza kujionea umbile lako likiongeza ukubwa na pia likipunguka. Hakuna lisilowezekana!

  • Chumba kilichoinamishwa

    Jaribu vyumba vyetu vyetu maarufu vya kuinamishwa ambapo hakuna kitu kinaonekana kiilivyo!Ujanja huu wa mtazamo utakushangaza!

    Chumba kilichoinamishwa

    Jaribu vyumba vyetu vyetu maarufu vya kuinamishwa ambapo hakuna kitu kinaonekana kiilivyo!Ujanja huu wa mtazamo utakushangaza!

  • Vortex Tunnel

    Kizungusha akili hiki kwa hakika kitacheza na akili yako! Jishikilie na ufurahie tukio kuu ya Vortex Tunnel

    Vortex Tunnel

    Kizungusha akili hiki kwa hakika kitacheza na akili yako! Jishikilie na ufurahie tukio kuu ya Vortex Tunnel

  • Chumba kilichobadilishwa

    Je, ungependa mabadiliko ya mtazamo? Unaweza kupata hasa unachotafuta mnamo utakapoingia katika chumba chetu Reverseed! Yaani chumba kilichobadilishwa!

    Chumba kilichobadilishwa

    Je, ungependa mabadiliko ya mtazamo? Unaweza kupata hasa unachotafuta mnamo utakapoingia katika chumba chetu Reverseed! Yaani chumba kilichobadilishwa!

WAGENI KUTOKA MAKUMBUSHO MENGINE WANASEMA:

  • “Tulikuwa na wakati mwema sana leo! Bila shaka tunawapendekeza watu wengine kuja hapa, ni pahali pazuri pa kufurahisha familia, mpezi wako, na marafiki pia!”

    Jenna Williams

  • “Hii ilikuwa siku ya furaha sana. ninakupendekeza sana kuja katika MOI. Wafanyikazi ni wazuri na wapole sana.”

    Mary Smith

  • “Tulikuwa na wakati mwema na wa kushangaza kwenye Makumbusho! Tuna picha nzuri na kumbukumbu za kushiriki na familia yetu!”

    Sarah Harris

SOMA MAPITIO YOTE

INGIA KWENYE ULIMWENGU WA KUVUTIA WA VIMAZIGAZI! INGIA KWENYE ULIMWENGU WA KUVUTIA WA VIMAZIGAZI!

Nunua tiketi